Friday, August 3, 2018


Mshambuliaji Mbrazil, Gabriel Jesus akisaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea Manchester City hadi mwaka 2023 ambao unamfanya sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 awe analipwa Pauni 100,000 kutoka 70,000 kwa wiki alizokuwa analipwa katika mkataba wake wa awali aliosaini Januari 1, mwaka jana 2017. Jesus amefunga mabao 24 tangu ajiunge na Man City akiiwezesha pia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu 

0 comments:

Post a Comment