Friday, August 17, 2018


Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia akizungumza kwenye Kongamano la maendeleo linaloshirikisha mikoa ya Mwanza, Geita, Kagera, Shinyanga, Simiyu, Mara na Rukwa ambao ni waalikwa. Kongamano hilo linalofanyika mkoani Mwanza ni la siku moja likitangulia kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Mtibwa Sugar utakaochezwa kesho Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo

0 comments:

Post a Comment