MAN CTY WARUDI MAZOEZINI MAPEMA TU BAADA YA KUIPIGA ARSENAL Benjamin Mendy (kulia) akifanya mazoezi na wachezaji wenzake, Sergio Aguero (katikati) na Fernandinho Jumatatu baada ya kuanza vizuri Ligi Kuu ya England kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal Jumapili
0 comments:
Post a Comment