MAN UNITED WALAMBWA 1-0 NA BAYERN MUNICH UJERUMANI Javi Martinez akishagilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao pekee dakika ya 59 ikiilaza 1-0 Manchester United katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich
0 comments:
Post a Comment