Waziri wa michezo wa Misri Ashraf Sobhy ametangaza kuruhusu mashabiki wa kandanda kuingia viwanjani katika michezo ya ligi ya nchini Misri
Ruksa hiyo ikiwa ni mara ya kwanza toka mwaka 2012.
Mashabiki wa kandanda walifungiwa kuingia uwanjani toka mwezi Februari 2012 baada ya mashabiki 74 wa Al Ahly kufariki.
Wapenda soka wataanza kuingia viwanjani kuanzia terehe 1 ya mwezi ujao na Waziri huyo wa michezo amesema watazamaji hawatakiwi kuzidi 5000 katika kila mchezo.
0 comments:
Post a Comment