Simba watikisa jiji la Mwanza Mashabiki wa Simba wameuteka mji wa Mwanza kwa rangi nyekundu na nyeupe za jezi ya timu yao. Walianza kwenda kuipokea timu uwanja wa ndege na baadaye kuisindikiza hadi kwenye hotelini.
0 comments:
Post a Comment