Tyson
Fury (kushoto) akimuadhibu mpinzani wake, Francesco Pianeta katika
pambano lao la usiku huu Uwanja wa Windsor Park, Belfast. Fury ameshinda
kwa pointi na kitangaza rasmi pambano lake lijalo ni dhidi ya Deontay
Wilder ambaye alikuwepo kwenye pambano hilo na kukiri juu ya hilo
0 comments:
Post a Comment