Beki
wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Baroka FC ya Afrika
Kusini, Abdi Banda amefanikiwa kuaga ukapela rasmi mara baada ya kufunga
ndoa na dada wa msanii wa muziki wa Bongo, Alikiba ambaye ni Zabibu
Kiba.
Video Player
00:00
00:00
Banda
amemuoa Zabibu hapo jana siku ya Jumanne majira ya usiku huku
ikiudhuriwa na ndugu, jamaa na familia wakiwemo nyota wa muziki wa
Bongo, Alikiba na Abdukiba.
Video Player
00:00
00:00
Aliyekua beki wa klabu ya wekundu wa Msimbazi , Simba , Abdi Banda ameamua kuweka wazi mpunga atakaokua anapata baada ya kumaliza mkataba wake Simba na kujiunga na klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini .
Mchezaji huyo aliyewahi kuitumikia klabu ya Simba amejiunga na Baroka Julai 12 mwaka 2017 huku akinukuliwa kuwa ameingia mkataba wenye thamani ya Sh 250 milioni za kitanzania kwa miaka mitatu.
0 comments:
Post a Comment