Nahodha
wa Barcelona, Lionel Messi akipambana katika mchezo wa La Liga usiku wa
Jumatano wakichapwa mabao 2-1 na Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque
mjini Leganes. Mabao ya Leganes yalifungwa na Nabil El Zhar dakika ya
52 na Óscar Rodríguez dakika ya 53, wakati la Barce limefungwa na
Philippe Coutinho dakika ya 12
Home
»
»Unlabelled
» BARCELONA NAO HOI, WACHAPWA 2-1 LA LIGA NA LEGANES
Thursday, September 27, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment