UJERUMANI
imeshinda haki ya kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro
2024, ikiwazidi Uturuki katika kura zilizopigwa na Kamati Kuu ya
Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) mjini Nyon, Uswisi.
Washindi mara tatu wa mashindano hayo, Ujerumani walikuwa wenyeji wa fainali za mwaka 1988 na pia wamewahi kuandaa Fainali za Kombe la Dunia katika miaka ya 1974 na 2006.
Pia watakuwa wenyeji wa michuano ya Olimpiki katika Jiji la Berlin itakayoshirikisha timu 24, na jumla ya michezo 51 kwa siku 32 kati ya Juni na Julai.
Ujerumani ndiyo wenyeji wa Euro 2024 baada ya kuwazidi Uturuki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miji mingine itakayotumika kwa Michezo hiyo ni Cologne, Dortmund, Dusseldorf, Frankfurt, Gelsenkirchen, Hamburg, Leipzig, Munich na Stuttgart.
Hii ni mara ya tano Uturuki wanashindwa katika jitihada zao za kuutaka yenyeji wa Euro na walitarajiwa sana kupata uenyeji wa sherehe za kutimiza miaka 100 kwa fainali za 2024 ambazo zingekuwa za kwanza kubwa za soka kuandaa.
Wakati Ujerumani ilibebwa na viwanja vyake vizuri, hoteli bora na usafiri na miundombinu, Uturuki iliangushwa na Viwanja vyake vya Ndege, Reli, Barabara na Viwanja pia kuwa katika ubora usioridhisha na pia hali ya kiuchumi ya nchi yake kwa sasa kuwa mbaya.
Akizungumza wakati wa kutangaza matokeo hayo, Rais wa UEFA, Aleksander Ceferin alisema: "Kulikuwa kuna wagombe wawili wa nguvu kutoka nchi kubwa kisoka, lakini bahati mbaya lazima mmoja ashinde,".
"Utaratibu ulikuwa wazi na kura zilikuwa za kidemkrasia na ninaamini maamuzi yoyote ya Kidemokrasia ni ya haki. Nachoweza kusema ni tu sasa tunaelekeza nguvu zetu kwenye michuano ya Euro ya 2024," amesema.
Washindi mara tatu wa mashindano hayo, Ujerumani walikuwa wenyeji wa fainali za mwaka 1988 na pia wamewahi kuandaa Fainali za Kombe la Dunia katika miaka ya 1974 na 2006.
Pia watakuwa wenyeji wa michuano ya Olimpiki katika Jiji la Berlin itakayoshirikisha timu 24, na jumla ya michezo 51 kwa siku 32 kati ya Juni na Julai.
Ujerumani ndiyo wenyeji wa Euro 2024 baada ya kuwazidi Uturuki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miji mingine itakayotumika kwa Michezo hiyo ni Cologne, Dortmund, Dusseldorf, Frankfurt, Gelsenkirchen, Hamburg, Leipzig, Munich na Stuttgart.
Hii ni mara ya tano Uturuki wanashindwa katika jitihada zao za kuutaka yenyeji wa Euro na walitarajiwa sana kupata uenyeji wa sherehe za kutimiza miaka 100 kwa fainali za 2024 ambazo zingekuwa za kwanza kubwa za soka kuandaa.
Wakati Ujerumani ilibebwa na viwanja vyake vizuri, hoteli bora na usafiri na miundombinu, Uturuki iliangushwa na Viwanja vyake vya Ndege, Reli, Barabara na Viwanja pia kuwa katika ubora usioridhisha na pia hali ya kiuchumi ya nchi yake kwa sasa kuwa mbaya.
Lakini
pia na nchi hiyo kuwa na rekodi mbaya ya haki za binadamu iliyopatikana
katika taarifa ya thamini za UEFA, nayo imewaangusha.
Rais
wa Shirikisho la Soka la Ujerumani, Reinhard Grindel na Makamu wa
Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Uturuki, Servet Yardimci hawakuruhusiwa
kupiga kura na wa Denmark pia, Lars-Christer Olsson, uamuzi huo
ulichukuliwa kwa kura za Wajumbe wengine 17 wa Kamati Kuu ya UEFA.Akizungumza wakati wa kutangaza matokeo hayo, Rais wa UEFA, Aleksander Ceferin alisema: "Kulikuwa kuna wagombe wawili wa nguvu kutoka nchi kubwa kisoka, lakini bahati mbaya lazima mmoja ashinde,".
"Utaratibu ulikuwa wazi na kura zilikuwa za kidemkrasia na ninaamini maamuzi yoyote ya Kidemokrasia ni ya haki. Nachoweza kusema ni tu sasa tunaelekeza nguvu zetu kwenye michuano ya Euro ya 2024," amesema.
0 comments:
Post a Comment