Gerard
Pique akikimbia na Lionel Messi kurudisha mpira katikati baada ya
kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 63 katika sare ya 2-2
na Girona Uwanja wa Camp Nou usiku wa jana. Hiyo ni baada ya Cristhian
Stuani kuifungia mabao mawili Girona ndani ya dakika sita, dakika ya 45
na 51 kufuatia Messi kuanza kuifungia Barca dakika ya 19 katika mchezo
wa La Liga. Barcelona ilimaliza pungufu baada ya refa, Gil Manzano
kumtoa kwa kadi nyekundu Clement Lenglet dakika ya 35
Home
»
»Unlabelled
» BARCELONA PUNGUFU YALAZIMISHWA SARE NA GIRONA, 2-2 CAMP NOU
Monday, September 24, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment