Kocha wa Timu ya Taifa ya Brazil, Tite amemteua mshambuliaji wa klabu ya PSG, Neymar Jr kuwa nahodha wa kudumu wa Brazil.
Tite alikuwa na sera ya kubadilisha manahodha kila mechi kwa sasa ameachana na sera hiyo.
Neymar ataanza kazi kama Nahodha wa kudumu kuelekea mchezo wa kesho wa kirafiki dhidi ya Marekani.
0 comments:
Post a Comment