Bernardo
Silva akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la tatu dakika ya 52
katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Poland kwenye mchezo wa Kundi la
Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Slaski mjini
Chorzow. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo
yalifungwa Andre Silva dakika ya 31 na Kamil Glik aliyejifunga dakika
ya 42, wakati ya Poland yalifungwa na Krzysztof Piatek dakika ya 18 na
Jakub Błaszczykowski dakika ya 77
Home
»
»Unlabelled
» BILA RONALDO URENO YASHINDA UGENINI, YAIPIGA POLAND 3-2
Friday, October 12, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment