Friday, October 12, 2018


Mshambuliaji wa Argentina, Lautaro Martinez akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Iraq usiku wa jana Uwanja wa Prince Faisal bin Fahd  mjini Riyadh. Mabao mengine ya Argentina yalifungwa na Roberto Pereyra dakika ya 53, German Pezzella dakika ya 82 na Franco Cervi dakika ya 90 na ushei

0 comments:

Post a Comment