Friday, October 12, 2018


Wachezaji wa Hispania wakimpongeza mwenzao, Paco Alcacer baada ya kufunga mabao mawili dakika za nane na 29 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Wales kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Principality mjini Cardiff. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 19 na Marc Bartra dakika ya 74, wakati la Wales lilifungwa na Sam Vokes dakika ya 89
12 Oct 2018

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.