Mabondia
Deontay Wilder wa Marekani na Tyson Fury wa Uingereza wakitambiana
Alfajiri ya leo katika mkutano na Waandishi wa Habari mjini Los Angeles
kuelekea pambano lao la Desemba 1, mwaka huu ukumbi wa Staples Center
mjini humo. Wawili hao walitaka kupigana baada ya kuudhiana kwa kauli,
kabla ya kutenganishwa na walinzi wao
Home
»
»Unlabelled
» WILDER NA TYSON FURY WATAKA KUZIPIGA 'KAVU KAVU' LOS ANGELES
Thursday, October 4, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment