Matteo
Guendouzi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu
dakika ya 79 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Qarabag usiku wa
Alhamisi Uwanja wa Taifa wa Baku. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na
Sokratis Papastathopoulos dakika ya nne na Emile Smith Rowe dakika ya
53
0 comments:
Post a Comment