MENEJA wa Juventus, Maurizio Sarri amesema kuwa huwa anavuta sigara nyingi kwa siku ili kujiskia vizuri baada ya mechi.
Sarri ambaye
ametimka Chelsea kwa kile kilichoelezwa ktokuwa na maelewano na
mashabiki kutokana na mfumo wake kwa sasa yupo Juventus.
"Kwa siku
navuta sigara 60, ninapokuwa mchezoni huwa sijiskii kuvuta lakini lakini
mda mfupi baada ya mechi ni lazima nivute," amesema Sarri.
0 comments:
Post a Comment