Mshambuliaji
wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe alikuwepo kwenye mechi ya sita
ya fainali ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Mareekani, NBA 2019 Uwanja wa
Oracle Arena mjini Oakland, California, Toronto Raptors wakitwaa taji
lao la kwanza na la kwanza pia la michuanon hiyo kwa timu ya Canada
baada ya kuifunga Golden State Warriors 114-110 usiku wa Alhamisi
Home
»
»Unlabelled
» MPABBE ALIKUWEPO ORACLE ARENA KUISHUHUDIA RAPTORS IKIBEBA TAJI LA NBA
Saturday, June 15, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment