Klabu ya Chelsea imeaachana na aliyekuwa Mshambuliaji wake Gonzalo Higuain baada ya mkataba wake wa mkopo kuisha.
Mshambuliaji huyo raia wa Argentina, amefunga mabao 5 tu kwenye michuano
yote akiwa na Chelsea. Higuain, alijiunga na Chelsea, kwa mkopo
akitokea klabu ya Ac Milan.
0 comments:
Post a Comment