PATRICK Wawa, beki kisiki wa Simba ameongeza kandarasi ya mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu yake.
Wawa
alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotwaa kombe la Ligi Kuu Bara msimu
wa 2018/19 hivyo anarejea kuendelea kuongoza kazi ya ulinzi ili kutetea
taji tena msimu ujao.
0 comments:
Post a Comment