Kinda
wa England mwenye umri wa miaka 17, Mason Greenwood (katikati)
akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao pekee dakika ya 76
ikiilaza 1-0 Inter Milan leo katika mchezo wa kitafiki Kombe la
Mabingwa wa Kimataifa leo Uwanja wa Taifa wa Singapore
0 comments:
Post a Comment