JURGEN Klopp Meneja wa Liverpool amesema kuwa usajili wa kinda Harvey Elliot ndani ya klabu yake ni mzuri na wenye manufaa.
Klopp amesema kuwa lengo kubwa la kuwasajili vijana ndani ya Anfield ni kuwakuza ili baadaye wawe na makali ya kutosha.
"Sina mengi ya kusema juu ya kijana ambaye amejinga na klabu ya Liverpool ni usajili mzuri na wenye manufaa hapo baadaye," amesema.
Kinda huyo mwenye miaka 16 amejiunga na kikosi hicho akitokea klabu ya Fulham.
0 comments:
Post a Comment