Friday, July 26, 2019


CRISTIANO Ronaldo nyota anayekipiga Juventus ambao ni mabingwa wa Serie A ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea.

Alikuwa ni mwanamichezo aliyekunja mkwanja mrefu mwaka 2016/2017 kabla ya kutimkia Juventus alipokuwa ndani ya Real Madrid.

Kwa sasa anakunja kiasi cha euro milioni 4.7 kwa mwezi sawa na bilioni 12.1 na walichokifanya Juventus ni kupitisha panga Kwa wafanyakazi wengine ili kumjazilizia mkwanja Cr 7.

0 comments:

Post a Comment