Thursday, August 22, 2019


Mchezaji wa zamani wa klabu ya Liverpool Daniel Sturridge, amejiunga na klabu ya Trabzonspor ya nchini Uturuki kwa mkataba wa miaka mitatu.

Inaelezwa kuwa wiki iliyopita Sturridge alikuwa kwenye mazungumzo na vilabu vya Trabzonspor na Besiktas katika kutafuta klabu mpya baada ya mkataba wake na Liverpool kwisha mwezi Juni.

0 comments:

Post a Comment