KUELEKEA
SportPesa Simba wiki inayotarajiwa kufanyika Agosti 6 uwanja wa Taifa
mambo yamezidi kupamba moto ambapo hamasa imekuwa ni ya juu huku matawi
mengi yakipania kufanya makubwa.
Tawi la Simba la Banadari Kavu-Kwala lililopo Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani limezua gumzo kutokana na aina ya ubunifu wake na mchoro wake ulivyo lipo namna hii:-

0 comments:
Post a Comment