BENKI KCB YAINGIA MKATABA WA MAMILIONI NA LIGI KUU BARA Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya KCB leo September 4 2019 wameingia mkataba wa mwaka mmoja wa Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mkataba huo unathamani ya shilingi milioni 495 + VAT.
0 comments:
Post a Comment