Usiku
wa October 22 2019 ilichezwa michezo nane ya muendelezo wa michuano ya
UEFA Champions League hatua ya Makundi, usiku huo umemalizika kwa
kushuhudia matokeo ya kushangaza ikiwemo rekodi mpya kuwekwa katika
historia.
Kwa upande wa Raheem Sterling akiwa na Man City katika
mchezo dhidi ya Atalanta uliyomalizika kwa Man City kushinda magoli 5-1,
usiku huo ulimalizika kwa Raheem Sterling kufunga hart trick yake ya
kwanza katika michuano ya UEFA Champions League.
Matokeo ya game za UEFA Champions League zitakazochezwa October 22 2019.
AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI
0 comments:
Post a Comment