Lionel
Messi akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Barcelona bao la nne
dakika ya 78, kufuatia Luis Suarez kufunga la kwanza dakika ya 27,
Arturo Vidal la pili dakika ya 32 na Ousmane Dembele la tatu dakika ya
35 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa La Liga usiku
wa jana Uwanja wa Camp Nou
Home
»
»Unlabelled
» MESSI AFUNGA LA NNE BARCELONA YAICHAPA SEVILLA 4-0 LA LIGA
Tuesday, October 8, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment