Klabu ya Singida United imemtangaza Ramadhan Nsanzurwimo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Kocha
ametangazwa leo jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Fred Felix
Minziro aliyeachwa baada ya sintofahamu baina ya pande mbili. Nsanzurwimo raia wa Burundi alikuwa akiinoa Mbeya City msimu uliopita
0 comments:
Post a Comment