Neymar anyemelea rekodi ya Ronaldo ndani ya timu ya Taifa
Mchezaji wa Brazil, Neymar leo atakuwa anafikisha mchezo wa 100 akiwa na timu ya taifa ya Brazil pindi timu yake itakapocheza na Senegal.
Pia leo kuna uwezekano wa Neymar kuifikia rekodi ya Ronaldo Nazario mwenye mabao 62 ndani ya timu ya Brazil.
Ikumbukwe wafungaji bora wa muda wote wa Brazil ni Pele 77, Ronaldo 62, Neymar 61 na Romalio 55.
0 comments:
Post a Comment