MANCHESTER United inahaha kuipata saini ya nyota wa Red Bull Salzburg, Erling Haalad kwa ajili ya kuongeza makali kwenye safu yao ya ushambuliaji.
Inaelezwa kuwa Manchester United ipo tayari kumlipa mshahara mnono nyota huyo ambaye wamemuweka kwenye malengo makubwa kwenye usajili wa mwezi Januari endapo atakubali kutua United.
Inaelezwa kuwa United imepanga kumlipa nyota zaidi ya dau ambalo analipwa kwa sasa kwa wiki ambalo ni pauni 20,000 wao watapandisha mpaka kumlipa pauni 200,000 kwa wiki.
0 comments:
Post a Comment