Cristiano
Ronaldo akiwa juu umbali wa mita 2.56 kuifungia bao la ushindi Juventus
kwa kichwa dakika ya 45 ikiwalaza wenyeji, Sampdoria 2-1 katika mchezo
wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Comunale Luigi Ferraris mjini
Genova. Juventus ilitangulia kwa bao la Paulo Dybala dakika ya 19,
kabla ya Gianluca Caprari kuisawazishia Sampdoria dakika ya 35
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO ARUKA JUU 'ILE MBAYA' KUIFUNGIA JUVENTUS BAO LA USHINDI
Thursday, December 19, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment