Marcus
Rashford akishangilia na mchezaji mwenzake, Anthony Martial baada ya
wote kuifungia Manchester United katika ushindi wa 3-0 dhidi ya
Colchester United kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England,
maarufu kama Carabao. Rashford alifunga dakika ya 51 na Martial dakika
ya 61, wakati bao lingine Ryan Jackson wa Colchester United alijifunga
dakika ya 56
Home
»
»Unlabelled
» RASHFORD, MARTIAL WAIPELEKA MAN UNITED NUSU FAINALI CARABAO
Thursday, December 19, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment