Kwenye orodha ya Mastaa waliotajwa leo kuongoza kuingiza pesa nyingi kupitia Instagram, Mkali wa soka Neymar yupo kwenye namba 6 Top 10.
Neymar
ambae ndio Mchezaji mwenye umri mdogo kuliko wote kwenye hiyo list
ameingiza zaidi ya USD 7.2 million ambayo ni zaidi ya Tsh. BILIONI 16.
Unaambiwa tangazo moja kupost Instagram Neymar hutoza
zaidi ya USD 700000 (laki saba) ambazo ni zaidi ya Tsh. BILIONI 1.6
🙆🏻♂️.
Kwenye Top 10 hiyo ya dunia Wanasoka
ni sita tu, Ronaldo alieongoza namba 1, Messi namba 2, Beckham namba 4,
Neymar namba 6, Ibrahimovic namba 7 na Ronaldinho namba 9.
0 comments:
Post a Comment