Monday, December 30, 2019


Chelsea inamtaka winga a PSG, Julian Draxler, 26 na kiungo wa kati wa Senegal mwenye umri wa miaka 30 Idrissa Gueye. (Star)
Juliana Draxler
Wakala wa kiungo wa kati wa Arsenal, Xhaka nasema kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 raia wa Uswizi amekubali uhamisho wa kuelekea katika klabu ya Ujerumani ya Hertha Berlin. (Blick, via Mirror)
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta anataka kumsaini Adrien Rabiot, 24, kwa mkopo kutoka klabu ya ligi ya Seria A Juventus imwezi Januari. (Times – subscription required)
Ajenti wa kiungo wa kati wa Arsenal Xhaka nasema kwamba mchezaji huuyo mwenye umri wa miaka 27 raia wa Uswizi amekubali uhamisho wa kuelekea katika klabu ya Ujerumani ya Hertha Berlin
Mkufunzi wa Chelsea Frank Lampard anasema kwamba winga wa Brazil Willian 31 ameanza mazungumzo na klabu hiyo kuhusu kuongeza kandarasi yake ambayo inakamilika mwisho wa msimu huu. (Mail)
Bayer Leverkusen itazuia jaribio lolote la Arsenal la kujaribu kumsaini winga wa Ujerumani Kevin Volland, 27, kutoka kwao. (Mail)
Winga wa Manchester City Leroy Sane, 23, atasalia katika klabu hiyo hadi mwisho wa msimu huu lakini raia huyo wa Ujerumani anatarajiwa kuhamia Bayern Munich kwa dau la pauni milioni 85 mwisho wa msimu huu . (Star)Winga wa Manchester City Leroy Sane, 23, atasalia katika klabu hiyo hadi mwisho wa msimu huuWinga wa Manchester City Leroy Sane, 23, atasalia katika klabu hiyo hadi mwisho wa msimu huu
Man City inamfuatilia beki wa Villareal Pau Torres, 22, pamoja na beki wa Portugal Ruben Dias, 22. (Telegraph)
Kiungo wa kati wa Dinamo Zagreb na Uhispania Dani Olmo, 21, amehusishwa na uhamisho wa Manchester City na Manchester United na anasema anataka kuchukua hatua nyengine katika kazi yake. (Manchester Evening News)
Mkufunzi wa Crystal Palace Roy Hodgson anasema kwamba anataka kuwasajili wachezaji wanne au watano katika dirisha dogo la uhamisho la mwezi Januari. (Mail)Mkufunzi wa Crystal Palace Roy Hodgson anasema kwamba anataka kuwasajili wachezaji wanne au watano katika dirisha dogo la uhamisho la mwezi Januari. (Mail)
Baba yake kiungo wa kati wa Arsenal Mohamed Elneny anasema kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 raia wa Misri ambaye yuko katika klabu ya besikitasa kwa mkopo ameanza mazungumzo kuhusu uhamisho wa kuelekea AC Milan. (Express)
Mshambuliaji wa Real Madrid Eden Hazard, 28, huenda akaendelea kuuguza jeraha hadi mwezi januari ama mwanzo wa Februari baada ya raia huyo wa Ubelgiji kupata jeraha hilo mwisho wa mwezi Novemba. (Marca)
Kiungo wa kati wa Real Madrid Martin Odegaard, abaye alijiunga na Real Sociedad kwa mkopo kwa miaka miwili anatarajiwa kuitwa na klabu hiyo ya Bernabeu mwezi 2020. (AS)

0 comments:

Post a Comment