Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya maendeleo ya KIDC yenye makao makuu yake nchini Korea.
Kulingana na mkataba KIDC watatoa walimu watatu katika kila shule tano ambazo zimechaguliwa na watakuwa hapo kwa muda wa miaka miwili wakiendeleza na kutoa mafunzo kwa wanawake.
Kama mkataba huo utafanikiwa kuinua soka ya wanawake kama malengo yalivyo unatarajiwa kuongezwa muda
0 comments:
Post a Comment