Sergio
Aguero akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao matatu Manchester
City dakika za 28, 57 na 81 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya wenyeji,
Aston Villa Uwanja wa Villa Park usiku wa jana, hiyo ikiwa ni hat-trick
yake ya 12 kwenye Ligi Kuu ya England na kuwa mchezaji anayeongoza
kufunga mabao matatu, matatu katika mechi moja. Mabao mengine ya
Manchester City yalifungwa na Riyad Mahrez dakika ya 18 na 24 na Gabriel
Jesus dakika ya 45 na ushei, wakati la Villa lilifungwa na Anwar El
Ghazi kwa penalti dakika ya 90 na ushei
Home
»
»Unlabelled
» AGUERO AWEKA REKODI MPYA YA HAT TRICK MAN CITY YASHINDA 6-1
Monday, January 13, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment