Monday, January 13, 2020


Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia baada ya ushindi wa penalti 4-1 kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kwenye fainali ya Super Cup ya Hispania usiku wa jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah, Saudi Arabia. Penalti za Real iliyomaliza pungufu baada ya Federico Valverde kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 115 zilifungwa na Carvajal, Rodrygo, Luka Modric na Sergio Ramos, wakati ya Atletico ilifungwa na Saul pekee huku Thomas Teye Partey na Kieran Trippier wakikosa

0 comments:

Post a Comment