FC Barcelona wametangaza na kuthibitisha kuwa mchezaji huyo mwenye jeraha katika goti lake la kulia hatokuwa uwanjani kwa kipindi cha miezi minne.
Suarez atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi minne kutokana na tiba ya jeraha lake kuhitahi kufanyiwa upasuaji, hivyo itachukua muda mrefu kupona, Suarez atatarajia kuanza kuonekana uwanjani mwanzoni mwa May 2020
0 comments:
Post a Comment