Monday, January 13, 2020




IMERIPOTIWA kuwa Thomas Lemar, mshambuliaji wa Atletico Madrid alijejiunga ndani ya kikosi hicho mwaka 2018 kwa dau la pauni milioni 52.7 anatazamwa kwa ukaribu na mabosi wa Wolves.
Habari zinaeleza kuwa Wolves imevutiwa na uwezo wa nyota huyo wana mpango wa kumuongeza kwenye kikosi chao kwenye dirisha dogo la usajili lililofunguliwa mwezi Januari mwaka huu.
Kutokana na harakati hizo tayari Atletico Madrid wameanza kumtafuta mbadala wake ili azibe pengo lake wakati akikamilisha dili la kusepa kwake.

0 comments:

Post a Comment