NYOTA
wa Arsenal,Nicolas Pepe amekuwa mchezaji wa kwanza ndani ya kikosi
hicho kufunga bao la mapema na la kwanza ndani ya mwaka 2020.
Ppe
alifunga bao la kwanza ndani ya mwaka mpya 2020 mbele ya Manchester
United dakika ya nane wakati timu yake ikishda mabao 2-0.
Ba la pili lilifungwa na Sokratis Papastathoulos dakika ya 42 kwenye mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa Uwanja wa Emirates.
Arsenal
iliyo chini ya Mike Arteta ipo nafasi ya 10 kwenye msimamo ikiwa na
pointi zake 27 baada ya kuecheza mechi 21 huku United ikiwa nafasi ya
tano na ina pointi 31
0 comments:
Post a Comment