Roberto
Firmino akimpongeza Sadio Mane baada ya kuifungia Liverpool bao la pili
dakika ya 64 kufuatia Mohamed Salah kufunga la kwanza dakika ya nne
katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sheffield United kwenye mchezo wa Ligi
Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield, hivyo kuendelea kuongoza ligi
hiyo kwa pointi 13 zaidi
Home
»
»Unlabelled
» LIVERPOOL YAENDELEZA MAKAMUZI, YAWATANDIKA SHEFFIELD UNITED 2-0 ANFIELD NA KUUKARIBIA ZAIDI UBINGWA
Friday, January 3, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment