Mourinho afanya usajili wa kwanza Tottenham Klabu ya Tottenham imefanikiwa kumsajili kiungo Gedson Fernandes kwa mkopo wa miezi 18 kutoka klabu ya Benfica ya nchini Ureno. Katika mkataba huo kuna kipengele cha kumnunua jumla kiungo huyo mwenye miaka 21 kwa dau la £42.76m (€50m).
0 comments:
Post a Comment