Photo of Rais wa FIFA, Gianni Infantino amtumia salamu Wallace Karia
Rais wa shirikisho la soka Duniani FIFA, Gianni Infantino amemtumia salamu za pongezi rais wa TFF, Wallace Karia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Cecafa