Msuva asajiliwa kwenye klabu ya Benfica ya Ureno
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Saimon Msuva amesaini mkataba wa miaka 3 kuitumikia klabu ya Benfica ya Ureno, akitokea Difaa El Jadida ya Morocco, lakini atapelekwa kwanza kwa mkopo wa miezi sita katika klabu ya Panathinaikos ya Ugiriki hadi mwezi Julai mwaka huu.


0 comments:
Post a Comment