Liverpool kuhamia kwenye jezi za Nike Klabu ya Liverpool imetangaza kutumia jezi pamoja na vifaa vinavyotengezwa na kampuni ya vifaa vya micheza Nike kuanzia msimu wa 2020 - 21. Dili hilo litaanzia Juni 1, ambapo Nike itachukua nafasi ya New Balance.
0 comments:
Post a Comment