VIINGILIO YA MECHI YA WATANI WA JADI VYAANIKWA, WAAMUZI NAO WATAJWA Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza waamuzi watakaochezesha mechi ya mchezo kati ya Yanga dhidi ya Simba sambamba na viingilio. Viingilio vitakuwa ni Mzunguko - 7,000, VIP B&C - 20,000 na VIP A - 30,000.
0 comments:
Post a Comment