Nahodha
Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid
dakika ya 38 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Osasuna usiku wa
jana Uwanja wa El Sadar, Pamplona kwenye mchezo wa La Liga. Mabao
mengine ya Real Madrid yalifungwa na Isco dakika ya 33, Lucas Vázquez
dakika ya 84 na Luka Jovic dakika ya 90 na ushei wakati la Osasuna
lilifungwa na Unai Garcia dakika ya 14 na kwa ushindi huo kikosi cha
kocha Mfaransa, Zinadine Zidane kinafikisha pointi 52 katika mchezo wa
23 kikiendelea kuwazidi mabingwa watetezi, Barcelona pointi tatu
kileleni
Home
»
»Unlabelled
» REAL MADRID YAICHAPA OSASUNA 4-1 NA KUZIDI KUTAMBA KILELENI LA LIGA
Monday, February 10, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment