Monday, March 16, 2020


Mshambuliaji Mnigeria, Odion Ighalo akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 28 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, LASK kwenye mchezo wa kwanza wa Hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Linzer Jijini Linz. Mabao mengine ya Manchester United yamefungwa na Dan James dakika ya 58, Juan Mata dakika ya 82, Mason Greenwood dakika ya 90 na Andreas Pereira dakika ya 90 na ushei

0 comments:

Post a Comment